Mrajis Tume ya Utangazaji Zanzibar Sheikha Haji Dau akizungumza na Vyombo vya Habari kuhusu kurusiwa kuendelea na matangazo kwa baadhi ya Vyombo vya Habari vilivyositishiwa leseni ya Utangazaji hivi karibuni, huko katika Ofisi za Tume hiyo Kilimani Mjini Zanzibar.
PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR.