RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Filamu ya Tanzania Royal Tour baada ya kuizindua katika ukumbi wa Hoteli ya Goldeg Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.(
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia Uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour.(kulia kwake)Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar leo 7-5-2022, iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
WAGENI waalikwa na Wananchi wa Zanzibar wakifuatilia Filamu ya Tanzania Royal Tour,iliyozinduliwa leo 7-5-2022 Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na wakiwa na Wake wa Viongozi wakifuatilia Filamu ya Tanzania Royal Tour, iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Tuzo ya Muigizaji wa Filamu ya Tanzania Royal Tour na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Utamaduni na Filamu Zanzibar (BASFU) Dkt. Omar Abdalla na (kulia kwa Rais)Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania.Dkt.Kiagho Kilonzo.(Picha na Ikulu).