Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Jenitha Ndone.
Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.