Timu ya wanawake Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) (kulia) wakiwavuta Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa mivuto 2-0 kamba wa michuano ya kombe la Mei Mosi Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1
Mshambuliaji Kurwa Mangara (kula) wa timu ya Shirikal la Umeme nchini (TANESCO) akikokota mpira pembeni huku beki Kitwana Seleiman wa TAMISEMI akijaribu kuondosha hatari hiyo katika michuano ya kombe la Mei Mosi Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Wachezaji Irene Batanyita (CD) na Mary Kajigiri wa Uchukuzi SC ( C ) kwa pamoja wakijaribu kuwania mpira anaodaka Husna Mndeme wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) katika mcheezo wa netiboli wa michuano ya kombe la Mei Mosi Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Uchukuzi walishinda kwa magoli 37-22.
Timu za wanawake za Wizara ya Mambo ya Ndani (kushoto) na Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) wakivutana katika mchezo wa kuvuta kamba wa michuano ya kombe la Mei Mosi Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1
Timu ya wanaume ya Uchukuzi SC (Kushoto) wakiwavuta wapinzani wao Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa 2-0 katika mchezo wa kuvuta kamba katika michuano ya kombe la Mei Mosi Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma