Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akibonyeza kitufe, kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa huduma mpya za fedha ambazo zitatolewa kidigitali na Benki ya NMB “Teleza Kidigitali” katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Aprili 11, 2022. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hassan Hamad Chande, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Dkt. Edwin Mhede na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NMB, Dkt. Edwin Mhede (kulia), baada ya kuzindua huduma mpya za fedha ambazo zitatolewa kidigitali na Benki ya NMB “Teleza Kidigitali” katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Aprili 11, 2022. Kutoka kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hassan Hamad Chande.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza kwenye uzinduzi wa huduma mpya za fedha ambazo zitatolewa kidigitali na Benki ya NMB “Teleza Kidigitali” katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma,
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna, akizungumza kwenye uzinduzi wa huduma mpya za fedha ambazo zitatolewa kidigitali na Benki ya NMB “Teleza Kidigitali” katika Hoteli ya Morena jijini Dodoma, Aprili 11, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)