Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa m-mama, Dolorosa Duncan (kulia) kuhusu mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika, Chinangali Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika Chinangali Dodoma
Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Group, Shameel Joosub akizungumza kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika, Chinangali Dodoma
Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (wapili kulia) akibadilishana mawazo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Group, Shameel Joosub (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Vodacom Tanzania Plc, Jaji (Mstaafu) Thomas Mihayo na mjumbe wa bodi ya Wakurugenzi Vodacom Tanzania Plc, Margaret Ikongo (kulia) kwenye hafla ya uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika juzi, Chinangali Dodoma
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekonolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose (kulia), Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Group, Shameel Joosub (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia (katikati) na Afisa Mkuu wa Biashara Kimataifa, Diego Gutierrez kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika juzi, Chinangali Dodoma
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania plc wakiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwenye uzinduzi wa mfumo wa Vodacom m-mama utakaosaidia kuwapa usafiri kinamama wajawazito na watoto wachanga pindi wanapopata dharura. Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika juzi, Chinangali Dodoma
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekonolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Vodacom Group South, Mwamvita Makamba, Wa pili kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc, Sitholizwe Mdlalose na Kushoto ni Meneja wa Uhusiano wa kampuni hiyo Alex Bitekeye