Katika Mwaka MMoja tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani, baadhi ya watu wanasikika wakisema Rais anaupiga mwingi, wengine wanasema nchi imefunguka.
Mmoja kati ya watu ambao misemo yote hiyo inagusa Maisha yao, ni Shania, Mama Lishe kutoka Ruangwa mkoani Lindi, ambaye ujenzi wa miradi umekuwa faida kubwa kwake na familia yake, kwa kumpatia kipato. Hebu tumsikilize Shania mwenyewe.