Washindi mbalimbali kutoka mkoani Songwe waliojishindia zawadi za Tv za kisasa na simujanja (smartphone) kwenye promosheni ya Vodacom ya Shangwe Lipo Pale pale wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meneja Mauzo wa Vodacom mkoa wa Songwe Humphrey Mutabiirwa mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao kwenye hafla iliyofanyika stendi kuu ya Mwaka mjini Tunduma.