Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika kikao na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari cha Kagera walipofanya ziara katika kiwanda hicho kujionea namna kinavyo endeshwa
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakitoka katika Kiwanda cha Sukari cha Kagera baada ya kutembelea maeneo mbalimbali ndani ya Kiwanda hicho.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera, Bw. Seif Ally Seif akitoa maelezo kwa wajumbe wa Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) walipotembelea Kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mishenyi mkoani Kagera.
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakipewa maelezo na mtaalamu kuhusu aina za miwa zinazolimwa na katika mashamba ya Kiwanda cha Sukari cha Kagera walipotembelea Kiwanda hicho mkoani Kagera.
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika kikao na Uongozi wa Mgodi wa Dhahabu wa Stamigold mkoani Kagera walipotembelea Mgodi huo unaomilikiwa na serikali kujionea namna unaendeshwa.
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakiwa katika Mgodi wa Dhahabu wa Stamigold mkoani Kagera