Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mhe. Said Juma Mshana (kushoto) akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje, wa DRC, Mhe. Chritophe Lutundula Pen Apala jijini Kinshasa tarehe 30 Machi, 2022.
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mhe. Said Juma Mshana akiwa katika picha pamoja na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje, wa DRC, Mhe. Chritophe Lutundula Pen Apala jijini Kinshasa tarehe 30 Machi, 2022.mara baada ya kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho.