Mandhari ya baadhi ya barabara za Jiji la Dodoma zikiwa zimepambwa na bendera pamoja na mabango yenye picha za Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho tawala utakaofanyika jijini Dodoma Aprili Mosi, 2022.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kuona kupitia clip hii ya video Dodoma ilivyo kwa sasa kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM…..
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203