Afisa kutoka Tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Habib said Mohammed akiwasilisha mada ya umuhimu wa maadili katika Jamii Kwa wananchi wa Shehia ya kinuni wakati wa Utoaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi hao dhidi ya viongozi, hafla iliyofanyika kinuni Wilaya ya Magharibi “B”, elimu ya maadili imetolewa Kwa wananchi wa Shehia mbalimbali katika wilaya zote za Zanzibar chini ya Tume ya maadili ya viongozi wa Umma .Mwananchi kutoka Shehia ya Kinuni Abdulrahman Ali said akichangia mada mada ya maadili kwa jamii wakati wa utowaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko kinuni Wilaya ya Maghribi “B”.Mwananchi wa Kinuni Faraji Hassan Hussein akichangia mada mada ya maadili kwa jamii wakati wa utowaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko kinuni Wilaya ya Maghribi “B”. Mwananchi kutoka Shehia ya Kinuni Rashid Haji Ali akichangia mada ya maadili kwa jamii wakati wa utowaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko kinuni Wilaya ya Maghribi “B”.
Mwananchi kutoka Shehia ya Kinuni Ali Juma chogeza akipeleka malalamiko yake Kwa Afisa kutoka Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Habib Said Mohammed wakati wa Utoaji wa elimu ya maadili pamoja na upokeaji wa malalamiko ya wananchi dhidi ya viongozi huko Kinuni Wilaya ya Maghribi “B”.