Mkuu wa Idara ya Mitambo katika Chuo Kikuu cha Arusha, Dkt. Daniel Ngoma akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) katika Karakana ya Chuo hicho, Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho ni kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) akizungumza katika Karakana ya Chuo cha Ufundi Arusha wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa.
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Ufundi Arusha Profesa Siza Tumbo akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho ni kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa
Meneja wa Kitengo cha Uzalishaji na Usimamizi wa Miradi wa Chuo cha Ufundi Arusha, Mhandisi Faraji Magania akiwaelezea Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) maendeleo ya ujenzi wa bweni katika Chuo hicho wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho ni kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa Chuo cha Ufundi Arusha wakati Kamati hiyo ilipotembelea Chuo hicho na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa ujenzi wa maabara, bweni na madarasa.
PICHA NA OFISI YA BUNGE