Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn Mworia akizungumza kwenye mkutano wa kupinga ukatili wa kijinsia (Ring a bell) ulioenda sambamba na maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake duniani jana, mkutano huo uliandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na UN Global Compact
KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAPINGA UKATILI WA KIJINSIA
