Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Foundation Walbarga Genes Massawe akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Azania namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Foundation Walbarga Genes Massawe (wapili kulia) akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Tambaza namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Foundation Walbarga Genes Massawe (wapili kulia) akiwaelekeza wanafunzi wa shule ya sekondari Tambaza namna ya kutumia huduma ya E- Fahamu inayowezesha wanafunzi kupata elimu kidijitali iliyoandaliwa na Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation kwa kushirikiana na African Child Projects ambayo itaunganisha shule 50 za umma zilizoko katika mikoa 10 nchini (School Connectivity Project ).
VODACOM TANZANIA FOUNDATION WAKUTANA NA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAM NA KUWAELIMISHA NAMNA YA KUPATA MAUDHUI YA ELIMU BURE KUPITIA TOVUTI YA E-FAHAMU
Wanafunzi wa shule ya sekondari Azania wakisikiliza mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E-Fahamu kutoka Vodacom Tanzania Foundation
Wanafunzi wa shule ya sekondari Tambaza wakisikiliza mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E-Fahamu Vodacom Tanzania Foundation
Wanafunzi wa shule ya sekondari Jangwani wakifurahia mara baada ya kumaliza mafunzo ya namna ya kutumia huduma ya E-Fahamu Vodacom Tanzania Foundation