Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Jijini Dodoma kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP),uliofanyika leo March 2,2022 jijini Dodoma.
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati akizindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mageuzi ya Kijani Afrika (AGRA) Apollos Nwafor,akielezea malengo na Mkakati wa Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaudi Kigahe,akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) uliozinduliwa leo March 2,2022 Jijini Dodoma
Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha vitabu vya Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) baada ya kuzindua mipango hiyo hafla iliyofanyika leo March 2,2022 Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mpango kazi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa mara baada ya kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) uliozinduliwa leo March 2,2022 Jijini Dodoma
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati akizindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla hiyo imefanyika leo March 2,2022 Jijini Dodoma,
Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati akizindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla hiyo imefanyika leo March 2,2022 Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Innocent Bashungwa (kulia), Naibu Waziri wa kilimo, Anthony Mavunde (wa tatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka (wa pili kulia) baada ya kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) uliofanyika leo March 2,2022 Jijini Dodoma.
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Mikoa mara baada ya kuzindua Mipango ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo ya Wilaya (District Agriculture Development Plan – DADP) hafla iliyofanyika leo March 2,2022 ijini Dodoma.
………………………………………………………..
Na Hamida Ramadhani-DODOMA
WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amezindua mpango wa kuendeleza sekta ya kilimo,mifugo na uvuvi ya wilaya huku akiwataka viongozi wote katika nafasi zao kuhakikisha wanawajibika ili matokeo ya mpango huo yaweze kuonekana.
Ameyasema hayo leo March 2,2022 jijini Dodoma wakati wa uzinduzi huo wa mpango wakuendeleza sekta ya kilimo huku akisema mpango huo utakuwa mwarobaini wa kutataua changamoto mbalimali zinazoikabili sekta ya kilimo na sekta zingine zilizomo katika mpango huo.
Amesema Tanzania inajumla ya hekta Milioni 44 lakini zinazotumika ni hekta 23 sawa na asilimia 53 suala linalopelekea kilimo kusuasua.
‘’Ukweli usio pingika Tanzania imekuwa ikitegemea sekta ya kilimo katika kuwakomboa watu wake kiuchumi kwani sekta hiyo imeweza kuajili watanazia wengi amabapo asilimia 65 ya wananchi wamejikita katika kilimo huku na sailimia 100 ya chakula inatagemea sekta hiyo. ‘’ amesema Majaliwa .
Amesema sekta ya kilimo ni muhimu sana kwa ustawi wa wananchi na ustawi wa uchumi wetu na taifa letu kwasababu asilimia kubwa ya awananchi wamejikita kwenye kilimo hakuna budi kuongeza chachu tuongeze kipato cha mtu mmoja mmoja.
Hata hivyo amewata viongozi wote katika nafasi zao kuhakikisha wanawajibika ili matokeo ya mpango huo yanaonekana.
Kwa uapande wake waziri wa Nchi ofisi ya Rais Wawala Za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Innocent Bashungwa amesema kila mmoja amekuwa akihitaji mageuza katika sekta ya kilimo katika tafakuri hiyo zilijitokeza changamoto katika mpango wamu wa kwanza wa kuendeleza sekta ya kilimo na hivyo katika mpango huo wa pili wa kuendeleza sekta ya kilimo wanauwezo wa kuzitatua changamoto hizo licha ya kuwepo kwa mafanikio .
‘’Nikuhakikishile ofisi ya Rais Tamisemi kwa maelekezo ya raisi samia wizara hizo nzinazozalisha katika kukuza uchumi wamejipanga wanashirikina mpango huo wa awamu ya pili wa kuendeleza sekta ya kilimo ili kuleta mafanikio kwa wananchi .
Amesema changamoto ya tabia nchi imekuwa changamoto na Madadiliko hyo ya tabia nchi yamefanya kilimo kiwe na tija inayoshuka kwasabau yamabo ya ukame na changoto zingine .
‘’kwakushiria AGRA na wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi pamoja na maelekezo hivyo wamejipang kushiriana na AGRA katika kutatua chanagamoto ya kilimo katika karine 21 na matatizo ya tabia nchi nahali inayopelekea tija kushuka na kuwewezesha maafisa ugani kuweza kuwahudumia wananchi wetu, ‘’amesema bashugwa
Naye Makamu wa Rais wa Taasisi ya Kuendeleza Kilimo Afrika (AGRA), Apollos Nwafor amesema kuwa taasisi yao itaendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuleta mapinduzi ya sekta ya kilimo ili kuhakikisha Tanzania inazalisha zaidi na kuweza kulisha Bara la Afrika.
Makamu huyo wa Rais wa AGRA ametumia fursa hiyo kuipongeza Serikali kwa jitihada mbalimbali inazozifanya katika kuboresha na kukuza sekta ya kilimo na kwamba ameahidi kuendelea kuwekeza nchini.