Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo (katikati) wakata utepe kufungua Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea,(wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui . [Picha na Ikulu] 21/02/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea,[Picha na Ikulu] 21/02/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo wakifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea,[Picha na Ikulu] 21/02/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo (wa pili kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (wa pili kulia) na Katibu wa baraza la mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ua ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea, . [Picha na Ikulu] 21/02/2022.