Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, bungeni jiiini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka, bungeni jijini Dodoma, Februari 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)