Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (wapili kushoto) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirikisho hilo, Ndg. Mohamed Abdulaziz (kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 10, 2022, wapili kulia ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Ndg. Said Mek Sadik (wapili kulia) na Mjumbe wa Kamati ya utendaji na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma (kulia)
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi ya jezi ya timu ya Taifa Stars kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ndg. Mohamed Abdulaziz pale ugeni kutoka Shirikisho hilo ulipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 10, 2022, kulia ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Ndg. Said Mek Sadik
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Ndg. Mohamed Abdulaziz alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 10, 2022
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na ugeni kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirikisho hilo, Ndg. Mohamed Abdulaziz (wa kwanza kushoto) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 10, 2022, wapili kulia ni Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Ndg. Said Mek Sadik na Mjumbe wa Kamati ya utendaji na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma (kulia)
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)