Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene, akizungumza katika kikao cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya Mwaka 2021/2022 kwa kipindi cha Nusu Mwaka (Julai hadi Desemba, 2021), kilichofanyika Ofisi ya Wizara hiyo, Mtumba, jijini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene, akizungumza katika kikao cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti ya Wizara yake ya Mwaka 2021/2022 kwa kipindi cha Nusu Mwaka (Julai hadi Desemba, 2021), kilichofanyika Ofisi ya Wizara hiyo, Mtumba, jijini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene (katikati meza kuu), akimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Geofrey Pinda wakati alipokuwa akizungumza katika kikao cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti ya Wizara hiyo ya Mwaka 2021/2022 kwa kipindi cha Nusu Mwaka (Julai hadi Desemba, 2021), kilichofanyika Ofisi ya Wizara hiyo, Mtumba, jijini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene (kushoto), akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Khatibu Kazungu wakati alipokuwa akizungumza katika kikao cha kujadili taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Bajeti ya Wizara hiyo ya Mwaka 2021/2022 kwa kipindi cha Nusu Mwaka (Julai hadi Desemba, 2021), kilichofanyika Ofisi ya Wizara hiyo, Mtumba, jijini Dodoma, leo. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Geofrey Pinda. Picha na Wizara ya Katiba na Sheria.