Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Februari 7,2022 jijini Dodoma wakati akitoa tathmini ya mwenendo wa uzalishaji,usambazaji na bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu nchini kwa kipindi kinachoishia Februari 7,2022.
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji,akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Februari 7,2022 jijini Dodoma wakati akitoa tathmini ya mwenendo wa uzalishaji,usambazaji na bei za vifaa vya ujenzi na bidhaa nyingine muhimu nchini kwa kipindi kinachoishia Februari 7,2022.
……………………………………………..