Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu, bungeni jijini Dodoma, Februari 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 1, 2022. Katikati ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Maulid. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga kura ya kumchagua Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Februari 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson akiapa kuwa Spika wa Bunge, bungeni jijini Dodoma, Februari 1, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)