……………………………………………….
Dodoma,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) kwa Mamlaka aliyo nayo amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) kama ifuatavyo:
- Sethi Mburawabo Kamuhanda.
- Balozi Mstaafu Daniel Ole Njoolay.
- Bw. Faustine Ilobi Masalu.
- Bi. Beatrice Modest Kessy
- Bw Patrick Magologonzi Mongella.
- Bi. Elimbora Abia Muro.
Uteuzi wa Wajumbe hawa ni kwa kipindi cha Miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 28 Desemba, 2021.