Bao la pekee la Mshambuliaji hatari kwa sasa katika ardhi ya Tanzania Fiston Mayele limeipeleka Yanga katika hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Azam maarufa Azam Sport Federation kwa kuwacha wenyeji Mbao FC 1-0 mchezo uliopigwa uwanja wa CCM Kiruma jijini Mwanza.
Bao la Yanga limefungwa dakika ya 53 na Mayele akimalizia pasi ya Farid Mussa ambaye kwa leo alikuwa na mchezo mzuiri.