RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika, uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu kinachuzungumzia Mabadiliko ya Tabia Nchi, baada ya kukizindua wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Rais) Naibu Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA)Bi. Khadija.Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua tovuti ya “Africa College of Insurance and Social Protection” (ACISP).www.acisp.africa,www.acisp.net, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Bima na Hifadhi ya Jamii Afrika “Africa Insurance Retreat” uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Zanzibar.(Picha na Ikulu)