Sheha wa Shehia ya Kwamtumwajeni, Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar , Rajab Aliy Ngauchwa, akizungumza na Waandishi wa habari katika Siku ya Afya kwa Shehia hiyo.
Daktari kutoka Hospitali ya Kivunge Seif Yahya Issa, akimpima Maradhi ya Sukari Sheha wa Shehia ya Kwamtumwajeni Rajab Aliy Ngauchwa, ikiwa ni Siku ya Afya kwa Shehia hiyo.
Mwananchi Asha Rashid Twahir kutoka Shehia ya Kwamtumwajeni Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, akipimwa Maradhi ya Presha, ikiwa ni siku ya Afya kwa Shehia hiyo.
Baadhi ya Wananchi kutoka Shehia ya Kwamtumwajeni Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar , wakisubiri Kupima Afya zao ikiwa ni Siku ya Afya kwa Shehia hiyo.
Daktari Ahmed Juma Said Kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja, akimpa maelezo Mgojwa, katika Siku ya Afya kwa Shehia ya Kwamtumwajeni,Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar.
(PICHA NA MARYAM KIDIKO – MAELEZO)