Home Mchanganyiko MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA MOGITU- HANANG...

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI WA MOGITU- HANANG – 2

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Mogitu -Katesh wilayani Hanang akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Januari 23, 2022. Kulia ni Waziri wa Maji, Juma Aweso, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mayara, Makongoro Nyerere, Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Manyara, Simon Lulu na wa tatu kushoto ni Mbunge wa Hnang,Samwel Hayuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)