Home Siasa BARAZA LA WAZEE WA CCM WILAYA YA DODOMA MJINI WATEMBELEA UJENZI WA...

BARAZA LA WAZEE WA CCM WILAYA YA DODOMA MJINI WATEMBELEA UJENZI WA MJI WA SERIKALI,DODOMA

0

Katibu wa kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma na Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma Bw Meshach Bandawe akieleza maendeleo ya ujenzi wa mji wa Serikali kwa Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dodoma Mjini wakati walipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa mjihuouliopo Mtumba Jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Dkt.Pindi Chana akizungumza na Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dodoma Mjini wakati walipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa mji wa Serikali uliopo Mtumba Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini Peter Mavunde akizungumza wakati wazee hao walipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa mji wa Serikali uliopo Mtumba Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Dodoma  Mjini Meja Mstaafu Johnick Risasi akizungumza wakati wazee hao walipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa mji wa Serikali uliopo Mtumba Jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Dkt.Pindi Chana akiwaskiliza wazee wa Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dodoma Mjini wakati walipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa mji wa Serikali uliopo Mtumba Jijini Dodoma

Wajumbe wa Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dodoma Mjini wakipata maelezo juu ya ujenzi wa mji wa serikali unaojengwa katika eneo la Mtumba Jijini Dodoma

Wajumbe wa Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dodoma Mjini wakipata maelezo juu ya ujenzi wa miradi ya ukumbi wa mikutano na hoteli inayojengwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika eneo la mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Dkt.Pindi Chana akiwa katika picha ya pamoja  na Baraza la wazee wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Dodoma Mjini wakati walipofanya ziara ya kutembelea ujenzi wa mji wa Serikali uliopo eneo la Mtumba Jijini Dodoma