Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali za Serikali katika Kikao Kazi kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre leo tarehe 21 Januari, 2022 Jijini Dodoma.