MBUNGE
wa Viti Maalumu (CCM) anayewakilisha Kundi la Asasi za Kiraia Tanzania Bara (NGOs) Neema Lugangira
NA MWANDISHI WETU,DODOMA
MBUNGE
wa Viti Maalumu (CCM) anayewakilisha Kundi la Asasi za Kiraia Tanzania
bara (NGOs) Neema Lugangira ameipongeza Kamati Kuu ya CCM chini ya
Mwenyekiti wake mahiri, Rais Samia Suluhu katika mchakato wa kumpata
Mgombea Uspika wa CCM.

Aliyasema
hayo ikiwa tayari Mgombea wa CCM aliyepitishwa kuwania nafasi hiyo ya
Uspika kuwa ni Dkt Tulia Ackson ambaye atapambana na wagombea wa Vyama
vyengine.

Alisema hivyo
kwa sababu mchakato wa kumtafuta mgombea uspika ni jambo ambalo la
kitofauti lililotokea kwenye historia ya Taifa na ilikuwa imeleta
sintofahamu nyingi.

Mbunge
Neema Lugangira alisema lakini kwa hekima ya Kamati Kuu chini ya
Mwenyekiti wetu Samia Suluhu Hassqn wamefanya uchambuzi kati ya wale
wagombea 71 walijitokeza na wameweza kumteua Dkt Tulia aliyekuwa Naibu
Spika kugombea Uspika.

Alisema
jambo hilo ni kubwa sana na la kupongezwa kwa sababu kwanza limewapa
imani kubwa wao kama Wabunge kuona kwamba namna gani Kamati Kuu ya CCM
inathamini na kutambua uwezo wa Wabunge waliopo ndani ya Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Hivyo
nimefarijika sana kwamba Mgombea wa nafasi ya Uspika kupitia CCM
ametokea miongoni mwetu sisi Wabunge na naweza kusema Dkt Tulia
nimemfahamu kutoka mwaka 2017 nilipopata bahati ya kuwa Mjumbe wa Baraza
Kuu la UWT kupitia Mkoa wa Kagera na kupitia Baraza hilo nikapitishwa
kwa kura za kutosha katika Uchaguzi wetu nikawa Mjumbe wa Kamati ya
Utekezaji UWT Taifa” Alisema

katika kipindi cha mwaka 2017 mpaka 2020 kabla hajaingia kwenye Ubunge,
Dkt Tulia amekuwa mama hodari na shupavu ambaye amekuwa ni mwalimu kwao
na hata pale amekuwa akiona mtu anakitu ndani yake amekuwa mwepesi
kuwa mwalimu wa kujitolea.

“Nasema
ule ualimu wake na jinsi alivyo hata ukiuliza Wajumbe wa Baraza la UWT
wote wanafurahia uamuzi wa Kamati Kuu kupitisha jina la Tulia kugombea
Uspika” Alisema

Hata
hivyo aliongezea kuwa amekuwa Mbunge kwa mara ya kwanza 2020 mpaka sasa
ni kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa na muda wote Dkt Tulia
amekuwa mwalimu na mwepesi kufikika na wakati wowote unaweza kutumia
ujumbe akajibu na akakushauri.

pia hata wakati mwengine wanapokosea amekuwa akiwaelekeza namna ya
kuchangia wanapokuwa Bungeni kwa hiyo anaimani Kiti kimepata kiongozi
hodari na shupavu.

Aidha
alisema hata wakati akiwa Naibu Spika akiwa ameketi kwenye Kiti
ameendesha Mijadala ndani ya Bunge kwa umahiri mkubwa sana huku akitoa
uhuru wa kuchangia kwa kila Mbunge.

Neema Lugangira alisema Dkt Tulia anauwezo na Kiti cha Spika na sio
mara ya kwanza CCM kuteua Mgombea wa Uspika Mwanamke walishafanya hivyo
kwa Mhe Mama Anna Makinda na hiyo inadhihiridha jinsi CCM ilivyokomaa
Kisasia, Kidemokrasia na Haki Sawa za Kijinsia.

“Kwa
mara nyengine napenda kuwashukuru Kamati Kuu ya Halmashuri kuu ya CCM
kwa kutambua umuhimu wa kuimarisha umoja na mshikamano baina yetu ndani
ya Bunge kwa kitendo cha kuwarejeshea Dkt Tulia ambae ni Mbunge mwenzao.
“Alisema

Alisema hiyo
imewapa imani kubwa na hamasa zaidi ya yote kutokana na uwezo mkubwa na
hakuwezi kukatokea msukomsuko wa aina yote ile kwa sababu Dkt. Tulia
amekuwa Naibu Spika kwa Miaka Mitano na sasa kwa takribani Mwaka Mmoja
na kidogo hivyo anajua namna kazi za Bunge zinavyoendeshwa, tulipofikia
na nini kinapaswa kufuata.

Mhe
Neema Lugangira alimalizia kwa kusema Bunge litaendelea kuishauri
Serikali kwa Uimara mkubwa huku akiweka wazi kuwa suala la Wabunge
wenzake kumpigia kura za Kishindo Dkt. Tulia lipo wazi, watakwenda
kukamilisha kazi iliyobakia maana Wabunge wote wameunga mkono na kwa
kauli moja wanasema kwama Kamati Kuu ya CCM imefanya Maamuzi Sahihi.