Mkuu wa Wilaya ya Kibaha ,Sara Msafiri amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani kwa wajumbe wa Halmashauri kuu Wilaya ya Kibaha Mjini kwenye kikao kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kibaha.