Cristiano Ronaldo ameshinda Tuzo Maalum ya FIFA baada ya kuifungaia mabao 115 Ureno.
WASHINDI WA TUZO ZA FIFA 2022
Mwanasoka Bora wa Kiume: Robert Lewandowski (Bayern Munich na Poland)
Mwanasoka Bora wa Kike: Alexia Putellas (Barcelona na Hispania)
Kocha Bora wa Kiume: Thomas Tuchel (Chelsea)
Kocha Bora wa Kike: Emma Hayes (Chelsea)
KIPA Bora wa Kiume: Edouard Mendy (Chelsea na Senegal)
Kila Bora wa Kike: Christiane Endler (Lyon na Chile)
Tuzo Maalum Mwanaume : Cristiano Ronaldo (Manchester United, Juventus na Ureno)
Tuzo Maalum Mwanamke: Christine Sinclair (Portland Thorns na Canada)
Tuzo ya Puskas: Erik Lamela (Arsenal vs TOTTENHAM HOTSPUR)
Tuzo ya Shabiki: Mashabiki wa Denmark na Finland
Tuzo ya Mchezo wa Kiungwana: Timu ya taifa ya Denmark/Timu ya Matabibu wa Denmark na makocha wao
KIKOSI BORA WANAUME ‘FIFPRO XI’:
Kipa: Gianluigi Donnarumma (AC Milan, Paris Saint-Germain)
Mabeki: David Alaba (Bayern Munich,Real Madrid), Leonardo Bonucci (Juventus) na Ruben Dias (Manchester City)
Viungo: Kevin De Bruyne (Manchester City), Jorginho (Chelsea) na N’Golo Kante (Chelsea)
Washambuliaji: Cristiano Ronaldo (Juventus,Manchester United), Erling Haaland (Borussia Dortmund), Robert Lewandowski (Bayern Munich) na Lionel Messi (Barcelona/Paris Saint-Germain)
KIKOSI BORA WANAWAKE ‘FIFPRO XI’:
Kipa: Christiane Endler (Paris Saint-Germain, Lyon)
Mabeki: Millie Bright (Chelsea), Lucy Bronze (Manchester City), Magdalena Eriksson (Chelsea) na Wendie Renard (Lyon)
Viungo: Estefania Banini (Levante, Atletico Madrid), Barbara Bonansea (Juventus) na Carli Lloyd (NJ/NY Gotham)
Washambuliaji: Marta (Orlando Pride), Vivianne Miedema (Arsenal), na Alex Morgan (Tottenham Hotspur, Orlando Pride, San Diego Wave)