Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa katika Ofisi za CCM Makao Makuu Dodoma.(PICHA NA CCM MAKAO MAKUU)