Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Vinicius Junior dakika ya 25, Karim Benzema dakika ya 72 na Federico Valverde dakika ya 98, wakati ya Barcelona yamefungwa na Luuk de Jong dakika ya 41 Ansu Fati dakika ya 83.
REAL MADRID YAICHAPA 3-2 BARCELONA KOMBE LA SUPER CUP