Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar leo katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Studium leo katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar .
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman (kulia) Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Acson wakisimama wakati wa kupokea Salamu ya Heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama mara baada ya kupokea salamu ya Heshma ya Vikosi hivyo katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium jijini Zanzibar .
Vikundi mbali mbali vya Maandamano vikipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Polisi FFU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Polisi Wanawake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Mafunzo wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole pole katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Maofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Polisi Wanawake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la KIKOSI CHA KUZUIYA MAGENDO KMKM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi JKU wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ,hafla iliyofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyikia leo katika Uwanja wa Amaan Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja mgeni rasmii akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Baadhi ya Maofisa wa Vikosi vya Ulinzi na Wananchi wakifuatilia kwa karibu harakati za kusheherekea Maadhimisho ya Kilele cha miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Baadhi ya Maofisa wa Vikosi vya Ulinzi na Wananchi wakifuatilia kwa karibu harakati za kusheherekea Maadhimisho ya Kilele cha miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar sherehe zilizofanyika leo uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu Mhe.Dkt.Mohamed Gharib Bilali na Mkewe wakati walipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar leo kuhudhuria katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume na Mkewe Mama Shadya karume wakati walipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar leo kuhudhuria katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla na Mkewe (katikati) wakisindikizwa na wasaidi wao wakati walipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar leo kuhudhuria katika Kilele cha maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) akiongozana na Wasaidizi wake wakati alipowasili katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Sherehe zilizofanyika leo Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar leo katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali mya jamhuri ya Muungano wa Tanzania walipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar leo katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu