Katibu wa kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma na Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma Bw Meshach Bandawe akiongoza kikao cha Nne cha Wakurugenzi wa Utawala wa Wizara zote, wakandarasi na Washauri Elekezi cha kujadili maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara awamu ya pili zinazojengwa katika Mji wa Serikali Dodoma Sent from my iPhone