Bao lililokizamisha kikosi cha Mikel Arteta cha wachezaji makinda limefungwa na Nahodha wa Nottingham, Lewis Grabban dakika ya 82 na hii inakuwa mara ya pili tu kwa Arsenal kutolewa Raundi ya Tatu Kombe la FA ndani ya miaka 25 iliyopita kwa Forest.
ARSENAL YATUPWA NJE NA TIMU YA ‘ MCHANGANI’ KOMBE LA FA