Waziri wa Maji Nishati na Madini Suleiman Masoud Makame (kulia)akikunjuwa kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ukumbi wa Mitihani Mkoa wa Kusini Shehia ya Kizimkazi Dimbani .Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Maji Nishati na Madini Suleiman Masoud Makame akitoa hotuba katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ukumbi wa Mitihani Mkoa wa Kusini Shehia ya Kizimkazi Dimbani .Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Maji Nishati na Madini Suleiman Masoud Makame akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Thabit Idarous Faina alipotembelea jengo la Ukumbi wa Mitihani Mkoa wa Kusini Shehia ya Kizimkazi Dimbani Linaloendelea kujengwa na Tasaf.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ukumbi wa Mitihani Mkoa wa Kusini Shehia ya Kizimkazi Dimbani .Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji Tasaf Makao Makuu Ladislaus Mwamanga akizungumza katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ukumbi wa Mitihani Mkoa wa Kusini Shehia ya Kizimkazi Dimbani .Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais Thabit Idarous Faina akitoa maelezo ya Utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Ukumbi wa Mitihani katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ukumbi huo Mkoa wa Kusini Shehia ya Kizimkazi Dimbani .Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jengo la Ukumbi wa Mitihani lililowekewa Jiwe la Msingi na Waziri wa Maji Nishati na Madini Suleiman Masoud Makame Mkoa wa Kusini Shehia ya Kizimkazi Dimbani .Ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.