Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban Kavaa (Shati Jeupe) na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud , Wakiwa katika Boti kuelekea katika Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji Majongoo, hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban (kavaa Miwani) akiwakabidhi Boya Wafugaji wa Majongoo ,kama ishara ya Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji Majongoo, hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud, wakiachia Majongoo katika Maji kama ishara ya Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji Majongoo, hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban,akizungumza katika Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji Majongoo, hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Moja ya Jongoo la Pwani likiwa katika Kipimo cha uzito baada ya Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji Majongoo, uliyozinduliwa na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Mhe, Omar Said Shaaban (hayupo pichani) hafla iliyofanyika Mto wa Pwani Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja,cccccca iKiwa ni Miongoni mwa Shamra shamra ya Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA MARYAM KIDIKO/ MAELEZO ZANZIBAR.