MKUU wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee mapema leo jijini Dodoma akipokea malori mapya matano(05) aina ya TATA yenye thamani ya Tsh milioni 550. Malori hayo yamenunuliwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo za Jeshi hilo.
Muonekano wa malori mapya aina ya TATA ambayo yamenunuliwa na Jeshi la Magereza kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo za Jeshi hilo. Picha zote na Jeshi la Magereza.