Muonekano wa Simu ya Infinix NOTE SERIES
……………………………………………………………
Kampuni ya Simu ya Infinix imekuja RAM ambayo imekuwa feature ya muhimu kutokana na program nyingi kwenye simu za kisasa kuhitaji nguvu kubwa ya uendeshaji.
Imeelezwa kuwa Simu mpya za kama aina ya Infinix NOTE 11 Pro yenye 8GB RAM itaweza kuwa na uwezo wa kuruhusu kuongezeka RAM hadi 5GB kwa kugusa kitufe tu inatoka 8GB RAM na kuwa 13GB RAM (8GB RAM+5GB RAM = 13GB RAM).
Akizungumzia mapinduzi ya kitekinolojia mtaalam kutoka Simu za Infinix amesema kuwa “sasa utaweza kutumia Applications nyingi kwa wakati mmoja bila kumaliza chaji ya simu haraka wala kustaki, Kuongezeka kwa RAM kutakusaidia kuweza kufungua Apps nyingine kwa wakati mmoja kwa kasi kutoka 802ms mpaka 307ms ambapo kasi imeongezeka kwa asilimia 61%”
Utendaji wa RAM wa NOTE 11 Series unapatikana kwenye Infinix NOTE11 Pro / NOTE 11. Kwa kuwasha RAM Iliyoongezwa, simu inaweza kupakia games kwa kasi na kuhakikisha kuwa watumiaji wanaweza kuanza mchezo mara moja, hata ikiwa utabadili na kufungua programu nyingi.
Imeelezwa kuwa kuna hatua nne za kufuata kuongeza RAM kwenye simu za NOTE 11Series ambazo ni click setting, find special function, Tap MemFusion, Turn on Me,Fusion and choose how much RAM you to add pamoja na restarting to make it run.
Model NOTE 11 Pro na NOTE 115 ina ROM 128GB, RAM 8GB, Ram Expansion plan 2GB/3GB/5GB.
NOTE 115 ina ROM 64GB, RAM 6GB, Ram Expansion plan 1GB/2GB/3GB na NOTE 11 ina ROM 128 GB, RAM 6 GB, Ram Expansion plan 2GB/3GB/5GB.
NOTE 11 ina ROM 128 GB, RAM 4 GB, Ram Expansion plan 1GB/2GB/3GB na NOTE 11 ina ROM 64 GB, RAM 4 GB, Ram Expansion plan 1GB/2GB/3GB .
Infinix Imekuwa ikija na kuanzisha teknolojia kubwa na mpya kwenye simu zake na bado simu zake zimekuwa zikiuzwa kwa bei rafiki, RAM kuogezeka ni moja ya teknolojia ambayo Infinix wamepanga kuifanya endelevu kwa simu zote zijazo.