KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara TBLP katika kikao chake cha Desemba 30, 2021 ilipitia mwenendo wa matukio mbalimbali na kufanya maamuzi yafuatayo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba,Murtaza Mangungu kila mmoja wametozwa faini ya shilingi laki 500,000 kwa makosa tofauti tofauti.