2021
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
HALI YA MAJI KWA BWAWA LA MTERA INARIDHISHA – DKT. KYARUZI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TANESCO, Dkt. Alexander Kyaruzi leo Februari 14, 2021 amesema hali ya maji katika bwawa la kuzalisha umeme la Mtera…
NABIII JOSHUA ATANGAZA SIKU MBILI ZA KUMUOMBEA RAIS MAGUFULI
………………………………………………………………………………….. Na Mwandishi Wetu, Kihonda KIONGOZI Mkuu wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania, Nabii Joshua Aram Mwantyala ametangaza siku mbili maalum za maombi…
FEDHA ZA TASAF ZAMSAIDIA MLENGWA WILAYANI IGUNGA AANZISHA MRADI WA UFUGAJI NGURUWE
Nguruwe wa Mlengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) kupitia mpango wa kunusuru kaya masikini Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora,Hoka Leta wakiwa katika banda lao. Mlengwa…
WATUMISHI WA OFISI YA MSAJILI WA HAZINA WANG’ARA KATIKA MICHEZO
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Bi. Pili Mazowea akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa bonanza la michezo kutoka Ofisi ya Msajili…
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI MKOA WA DAR ES SALAAM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemenja…
OFISI YA ARDHI MKOA WA MOROGORO YAANZA KUSAKA TRILIONI 1.O29 ZA KODI YA ARDHI
Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Morogoro Frank Mizikuntwe akisisitiza jambo wakati akielelezea mikakati ya ofisi yake kufuatilia Wadaiwa wa Kodi ya Ardhi na…
Vodacom Tanzania PLC Yazungumzia Huduma za Malipo kwa Mtandao kupitia M- Pesa Kwenye Kongamano la Huduma Ndogo za Kifedha Jijini Dodoma
Meneja Biashara na Mkakati wa Mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC kanda ya kati, Baraka Siwa akizungumza kuhusu huduma…
UHABA WA WATAALAMU WENYE UJUZI KILIO KWA WAWEKEZAJI
Mkuu wa Kiwanda cha Kutengeneza Chanjo cha Hester, Dkt. Umapati Dasgupta (kulia) akimueleza jambo Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante…
BODI YA ZABUNI YARIDHISHWA NA RUWASA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAJI VIJIJINI
Bodi ya Zabuni ya Mamlaka ya maji na usafi wa Mazingira mjini Shinyanga (SHUWASA), ikikagua utekelezaji wa miradi ya maji ambayo ya Wakala wa…