Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya kati, Joseph Sayi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa wiki ya pili wa promosheni ya “Show Love,Tule Shangwe ” jumla ya washindi 16 mkoani Dodoma ambao wamejishindia Tv za kisasa (smart TV) sita, simu janja (smartphone) sita na washindi wanne wamejishindia pesa taslimu. Ili ushinde zawadi kutoka Vodacom unatakiwa kununua bando au kutumia huduma ya M-Pesa kwa umpendae kwa kupiga *149*01#. Hafla hiyo imefanyika mjini Dodoma.
Mkuu wa Mauzo Vodacom kanda ya kati, Joseph Sayi (kushoto) na Meneja Mkakati wa Biashara wa kanda hiyo, Baraka Siwa (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washindi wa wiki ya pili wa promosheni ya “Show Love,Tule Shangwe ” jumla ya washindi 16 wamejishindia Tv za kisasa (smart TV) sita, simu janja (smartphone) sita na washindi wanne wamejishindia pesa taslimu. Ili ushinde zawadi kutoka Vodacom unatakiwa kununua bando au kutumia huduma ya M-Pesa kwa umpendae kwa kupiga *149*01#.