Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Kilichokutana leo tarehe 18 Desemba, 2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Kilichokutana leo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo walipokua wakitoka nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete
PICHA NA IKULU