Mshambuliaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Simai Hassan Sadiki (kulia) akimtoka Beki wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mshariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.
Nahodha wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Cosato Chumi (kushoto) akidhibiti mpira mbele ya Mabeki wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.
Kiungo wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Ramadhan Suleiman Ramadhan (kulia) apiga pasi mbele ya Kiungo wa wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Ridhiwan Kikwete (katikati) akiwatoka Mabeki wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.
Nahodha Msaidizi Timu ya Mpira wa Miguu ya Bunge la Tanzania, Athony Mavunde akiwatoka viungo wa wa Timu ya Burundi wakati wa mechi ya Mashidano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inayoendelea Jijini Arusha. Timu ya Tanzania ilishinda kwa goli 5-1.
PICHA NA BUNGE