Mrajisi Baraza la Madaktari Zanzibar dk. faiza Kassim Sleiman akizungumza na vyombo vya habari akiwataka wananchi kufuata utaratibu maalum wa kufikisha malalamiko yao dhidi ya watendaji wa sekta ya Afya, huko Wizara ya Afya ,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mnazimmoja Zanzibar.
Wizara ya Afya ,Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto yafanya mazungumzo na Shirika la Marekani linaloshughulikia Misaada ya Ukimwi Duniani (PEPFAR), ujumbe huo umekuja kufuatia ziara ya Balozi wa Marekani aliyoifanya Zanzibar hivi karibuni.
PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR