Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima (mwisho kulia ) akiwa na washindi wa promosheni ya ” Show Love ” Tule Shangwe ambao wamejishindia Tv za kisasa ( smart Tv ) washindi 4, Simu Janja ( smartphone ) washindi 3, na washindi 5 wamejishindia safari kwenda k utalii. Ili uweze kujishindia zawadi mteja wa Vodacom unatakiwa kununua bando au kutumia huduma ya M-Pesa kwa umpendae kwa kupiga × 149 * 01#
Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima akishoo love na Masta Shangwe