Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Timu ya Mpira wa Pete ya Bunge la Afrika Mashariki kabla ya Timu hiyo kuanza kuchuana na Timu ya Bunge la Kenya katika mchezo uliochezwa katika viwanja vya Shule ya St. Constantine international ya Jijini Arusha.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Timu ya Mpira wa Pete ya Bunge la Kenya kabla ya Timu hiyo kuanza kuchuana na Timu ya Bunge la Afrika Mashariki katika mchezo uliochezwa katika viwanja vya Shule ya St.Constantine international ya Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Timu ya Bunge, Mhe. Abbas Talimba akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai katika viwanja vya St. Constantine international ya Jijini Arusha ambapo Mhe. Spika alienda kushuhudia michezo mbalimbali ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanayoendelea Jijini Arusha, kushoto ni Katibu Mkuu wa Mabunge ya Nchi za Maziwa Makuu, Balozi Kakoba Onyango na kulia ni Mhe. Jane Jelly.
Spika wa Bunge,Mhe. Job Ndugai na Katibu Mkuu wa Mabunge ya Nchi za Maziwa Makuu, Balozi Kakoba Onyango wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Mpira wa wa Pete ya Bunge la Kenya katika viwanja vya St. Constantine international ya Jijini Arusha ambapo michezo mbalimbali ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanaendelea Jijini Arusha.
Spika wa Bunge,Mhe. Job Ndugai na Katibu Mkuu wa Mabunge ya Nchi za Maziwa Makuu, Balozi Kakoba Onyango wakiwa katika picha ya pamoja na Timu ya Mpira wa wa Pete ya Bunge la Afrika Mshariki katika viwanja vya St. Constantine international ya Jijini Arusha ambapo michezo mbalimbali ya Mabunge ya Nchi za Afrika Mashariki yanaendelea Jijini Arusha.