Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mpango wa ‘Women Mean Business Program’ Kwenye ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Desemba 11, 2021. Kushoto ni Waziri wa chi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Geofrey Mwambe, Kulia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania, Angelina Mgalula na wa pili kulia ni Hellen Fytche, Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano,Ubalozi wa Canada nchini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanachama wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwenye ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Yasinta Mwandelele wa Mtandao wa mazao yanayotokana na samaki wakati aliipotembelea banda la mtandao huo katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanachama wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) kwenye ukumbi wa Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salam, Desemba 11, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)